Nimesikitishwa na mandhari duni anayoishi huyu kijana, ukuta hauna hata plasta huku Simba wakigawa mamilioni ya Shilingi kwa watingisha matako wa Old Kampala.
Mbaya zaidi ni baba yake kuzama Joburg akila uroda na makahaba ya Bondeni katika mitaa ya makasino kama vile Summit na mengineyo huku dogo akiteseka.
Pole kijana Christopher Alex; Mungu atakuponya. MCC fans mbarikiwe sana. Kwa uungwana huu naamini hata Yanga wakija Mbeya hamtawapiga tena kama mwaka Jana.
Mungu ibariki Tanzania na Mungu mbariki Christopher Alex apone haraka, amen.