Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
messi.jpg
messi1.jpg
 
Ila hapa mashabiki wenzangu wa Yanga mlizingua!! Hapa si ndiyo mlimbeba Injinia baada ya kuwasajili Sarpong na Calinhnos!! Halafu msimu ulipoanza, wote waliishia tu kuchemka!!

Wakati mwingine tusifanye hivi bhana! Ndiyo maana hawa mbumbumbu wanatuita utopolo! Ni kwa sababu tu ya ujinga kama huu 😁😁
 
Mbumbumbu fc watapita mbali sana na huu uzi [emoji1787]
 
Mesi anastahili kupokelewa airport ila sio kwa wachezaji vilaza kama Calinyos na Abdulrazaq Fiston a.k.a mtambo wa magoli wa Buza kwa Mpalange.
 
Usajili bora kuwahi kutokea kwa mchezaji bora wa dunia ever.

Pigo kubwa ssana ssana kwa Barcelona na wakatalunya kwa ujumla.

Yumkini baada ya huu usajili wa Messi na kuwafanya mashabiki wengi duniani waumie, unaofuata ni ule wa Diego Maradona baada ya kuachana na Napoli. Napoli adi leo hawatamusahau Diego.


All the best King of the world ever
 
Back
Top Bottom