Picha mbalimbali za watu wa Jamii ya Wangbetu iliyo Congo namna wanavyorefusha vichwa vyao

Picha mbalimbali za watu wa Jamii ya Wangbetu iliyo Congo namna wanavyorefusha vichwa vyao

Walikuwa wanafanya aje hadi vichwa vinaumuka hivyo?

Maana hilo sio chogo bali ni semi trailer...
Mkuu hujaona hicho kitoto kilichobebwa pichani? Kichwa cha mtoto kilikuwa kinavalishwa kofia ngumu ya kamba iliyobana sana kwa vile fuvu bado laini linakubali kuwa 'moulded' katika umbo la kofia. Mkuu hujaona hicho kitoto kilichobebwa pichani kimebanwa hadi macho yamechomoza kama kibonzo.
 
Back
Top Bottom