Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Huwezi kuwa na vitu vingi kichwani alafu ukafanya anachofanya hayaland.
Wewe nsome kwenye hiyo friedman , alafu msome kwenye hii ya HAYA LAND HOV , hapo utagundua huyu ana zaidi ya matatizo makubwa
 
Muulize tu kama tumetuzidi ikawaje wakatuchapa kipigo cha mbwa mwizi pale Goma na Kivu?
 
Leo nimepita pale kwenye barrier 🚧 ya Mtera kuna dogo mmoja wa JWTZ ana likitambi mtepwesho na ni bonge nyanya

Yule dogo anaonekana ni wale wa kishua wasio na akili mzee wake akaona amchomeke huko jeshini

Ndugu wasomaji ule mkitambi ni mkubwa haswa kwa size unaweza kua 46 inches au zaidi kidogo

Najiuliza hata mazoezi ya ku rolls na ku scrow alikua anafanyaje

Dogo analiaibisha jeshi letu hata kama ni dhaifu isiwe obvious kiasi kile pale wanapita na wageni watakua wanatucheka sana

Mpelekeni huko maporini ambako hakutani na civilians
 
Ndo wamejazana huko sasahivi
 
Hamia huko basi!! We mtoto una sonona na itakuua!!
 
Usiku lakini imebidi nicheke kwa nguvu kidogo
HAYA LAND HOV naona ile ya manfried aliibadili na kuwa Friedman, muda mchache kabadili tena anajiita Knock life

HAYA LAND HOV unachofanya ni utoto
 
Wewe kila siku nilikuambia Una upungufu wa akili unazidi kuidhihirishia jamii kila siku ya kuwa kichwani mwako mna usaha.ndiyo maana uka post kipindi kile yankuqa watu wachome kila kitu. Hivi sasa unachokiandika hakuna tofauti na MFA maji..
 
Acha ujinga wewe, Rwanda jeshi lao haliwezi kuuwa watu kwa maelfu na kuwazika kwenye mass grave.
 
Inawezekana tukafanana kidogo.
Ila tofauti wao wanafanya kwaajili ya maendeleo ya nchi yao na wananchi wao kwa ujumla.
Sisi tunafanya kwa ajili ya ubinafsi na kujineemesha watu wachache.
Kuuza nchi kwa wageni kwa kupitia mikataba ya kilaghai kwaajili ya maslah ya wachache.
Ktk ukanda huu kwasasa Rwanda ni nchi bora sana.
Tanzania ni kundi moja pamoja na burundi na kongo DRC.
Tumepungukiwa viongozi wazalendo.
Vitambi vyao vimejaa rushwa na roho mbaya.
 
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Haaaaa
Hiyo ya β€œhata haelewi kwa nini yupo pale”
Wenyewe wanasema ati Mungu ndiye kapanga. Miafrika bwana!!!!!!!
 
Wanasema β€œwe die healthy”
Haaaaaaaaa
 
Tuseme ukweli:
Nyerere Times - Very strong Army
Mwinyi Times - Hamna msisimko Army
Benjamin Times - Kimya Army
Jk Times - Corrupt Army
JPM Times - Revamped Army
Simba Jike Times - Dead but Army which is contaminated.

Uncertainties to follow
 
Uliowapost kwenye picha ya kwanza ni wakuu wa vikosi na wenye vyeo vya kuelekea huko juu, tayari wametoka kwenye matumizi ya moja kwa moja ya miili yao pekee na wengi wanaelekea kustaafu umri umesogea wengi wana miaka 20+ kwenye service.

Unafananisha na vijana wadogo ambao bado hata miaka 15 jeshini hawana zaidi wanatoka nchi ambayo watu wake hawanenepi ni slim in nature, huku ni kufananisha kusikochunga misingi ya uadilifu.
 
Tanzania haikwenda DRC kupigana vita, msilidharau jeshi letu kiasi hicho kisa halijawapa sapoti kwenye upuuzi wenu wa 10/29, Tanzania haikwenda kupigana vita DRC narudia tena, kama uko misinformed bora uulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…