Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Retired general Davis alikuwa anatii serikali ya mamlaka gani? wapi alikwenda kinyume na serikali iliyokuwa madarakani? mbona nyie watanzania wenzangu hamueleweki hata mnasimamia nini, mlitaka jeshi lisimamie maslahi yenu ya kuchoma mali za watu kwa wivu na husda sio? kwamba mkimaliza kuchoma mpewe ulinzi, like seriously?.Jeshi aliondoka nalo Mwamunyange.
Saivi JWTZ ni kikundi cha wahuni kama wahuni wengine tu. Hakuna weredi, hakuna kujitambua, hakuna kusimamia maslahi ya Wananchi. Ni mwendo wa uchawa na kujipendekeza kwa ccm tu kama ndo miungu wao.
Ndio walikuwa na vitambi Ndo maana wakuwa waua mpaka wototo na wajawazito ambao hawana siraha am sure siku watakavyopambana na wenye siraha mia wao wakiwa buku watatoka ndukiWaliofanya doria 29/10 walikua na vitambi?
Wazee wa kuvunja tofaliPicha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.
NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
View attachment 3515795
Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi. Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
View attachment 3515796
Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
Kazi kuu ya Jeshi ni kulinda uhai na maslahi ya Wananchi sio kikundi cha mafisadi wachache wanaoua raia na kufisadi kodi zao.Retired general Davis alikuwa anatii serikali ya mamlaka gani? wapi alikwenda kinyume na serikali iliyokuwa madarakani? mbona nyie watanzania wenzangu hamueleweki hata mnasimamia nini, mlitaka jeshi lisimamie maslahi yenu ya kuchoma mali za watu kwa wivu na husda sio? kwamba mkimaliza kuchoma mpewe ulinzi, like seriously?.
Na kubeba magogo.Wazee wa kuvunja tofali
Nchi yetu ni Tanzania hayo mambo ya tanganyika ni upumbavu wenu mlioubuni kujaribu kutafuta sympathy.Katiba ipi ya JMT?
Nyie mlivyoiba uchaguzi mmeiba kwa kifungu kipi cha Katiba?
Mlivyoua maelfu ya vijana wa kitanganyika mmefanya hayo kwa kifungu kipi cha Katiba?
Mnavyoteka, kuua na kuwapoteza Watanganyika mnafanya hayo kwa kifungu kipi cha Katiba?
Nakuuliza wakati general Davis ni CDF alikuwa analinda maslahi ya chama gani na wananchi wa nchi gani? unataka kutudanganya kama tulikuwa tunanyonya wakati yupo kwenye service, hebu tuacheni na nchi yetu itulie kila siku kelele mnalipwa? kama mnaona hapa hapawafai si muondoke? hamridhishwi halafu kila siku mnakenua meno kwenye vijiwe vya kahawa hapahapa Tanzania, hamna options au?.Kazi kuu ya Jeshi ni kulinda uhai na maslahi ya Wananchi sio kikundi cha mafisadi wachache wanaoua raia na kufisadi kodi zao.
Wapi alilinda maslahi ya ccm?Nakuuliza wakati general Davis ni CDF alikuwa analinda maslahi ya chama gani na wananchi wa nchi gani? unataka kutudanganya kama tulikuwa tunanyonya wakati yupo kwenye service, hebu tuacheni na nchi yetu itulie kila siku kelele mnalipwa? kama mnaona hapa hapawafai si muondoke? hamridhishwi halafu kila siku mnakenua meno kwenye vijiwe vya kahawa hapahapa Tanzania, hamna options au?.
Acheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.
Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Na ukiwauliza mnaichukua kuipeleka wapi? wana cha kujibu basi? haya leo tarehe 16/12 wameshasimika serikali yao madarakani isiyokuwa na kiongozi? maana walikuwa wanajichomea tu kila wanachokiona na kutukana kila aliye mbele yao.Baada ya kugundua hilo mkaamua muende kuchukua nchi kwa maandamano.😀
Kazi unayofanya ya kutetea wauaji ni "kubwa"
Umewahi kufika hata hapo Uganda? hebu acheni kutukana nchi yetu kiasi hiki.Rwanda, Kenya na sasa Uganda ndo mataifa yanayoongozwa kwa akili.
Tanzania inaongozwa kwa uchawa na ujinga ndo mana saivi inazidi kurudi nyuma kila siku.
Kumbe aliondoka ameacha UPDP imechukua nchi, okay.Wapi alilinda maslahi ya ccm?
Unapajua Gitarama?.Acha ujinga wewe, Rwanda jeshi lao haliwezi kuuwa watu kwa maelfu na kuwazika kwenye mass grave.
We kichwa chako kimejaa mavi maongezi Yako utumbo mtupuAcheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.
Ndio, haukuona picha zaoWaliofanya doria 29/10 walikua na vitambi?
Elewa mada vizuri, hao ni maofisa, masyer plan wa utekelezaji kazi jeshi.Waliofanya doria 29/10 walikua na vitambi?
Waliochochea maandamano ni samuya na genge lake la kijani kwa kuiba kuraWewe dogo ulichochea vijana waandamane wakatoka wakauliwa Kama wewe usiyejitambua unakaa ktk keyboard unaandika ujinga
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi, quality matters.Acheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.
ngara23 yuko wapi kwani? 😅😅Usiku lakini imebidi nicheke kwa nguvu kidogo
HAYA LAND HOV naona ile ya manfried aliibadili na kuwa Friedman, muda mchache kabadili tena anajiita Knock life
HAYA LAND HOV unachofanya ni utoto