Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?

IMG_20220104_081646.jpg
 
Hivi hili lipicha halijatengenezwa kama ile video ya Spika wetu?
 
Kwa hiyo hapo kunashida gani mavi si yapo ndani, na hapo juu watu wanakanyaga na kukaa. Ayo ni mambo madogo, ukiona unashindwa kuweka vitu juu ya matank ya choo ujue wewe ni mchafu kupitiliza, choo mbali na kutita tu , choo inatakiwa kiwe kisafi kwamba uweze kulia chooni chakula
 
Nini kula kukaa chini tu hunikalishi Hata choo kiwe kisafi vipi,,,Yan Mzungu anaeza akakaa kabisa chini chooni,,,kuna nyingine niliona tiktok wanajaza pipi,chocolate,crispy Kwenye sink la choo afu wanakula crazy
 
Ugali umewekwa kwenye sinia ilo la choo wewe sijui umeona wapi, mahindi yameanikwa juu ya sakafu ilo la choo we umeona wapi.

Ni vitu vya kawaida
 
Hapo huo ugali kwani umegusana na mavi mkuu? Hicho alichofanya ndio uhalisia wa maisha wanayoishi watu huku mtaani, wengine ungekuta ugali huo umezungukwa na nzi kibao na unaliwa fresh tu..,

Ila huyu mbunge nae bhana, kwanini atembee peku sasa? Chumba chake kitakuwa na mavumbi hadi mashuka yatakuwa hayafai ndio maana anabanja mara kwa mara!
 
Yeye ni layman wa mambo ya afya, fani yake ni mwanasihasa kwa hiyo hakuna jipya.....atajuana mwenyewe na tumbo lake.
 
Nyumba nyingi za kitanzania ziko ivo yaan makaro ya choo yapo auani na activities zote zinaendelea Kama kawaida ..Hakuna jipya hapo Ni mazingira ya kawaida..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom