Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

Sijaona tatizo lolote, nadhani ulikusudia kumchafua lkn hiyo ni kitu ya kawaida kabisa.
 
Kuweka chakula kwenye choo?
Hivi ukilala chumba chenye master bedroom ni sawa na kuwa umelala chooni? Hivi huwezi kuchota maji ya bafuni na ukachemsha chai na kunywa? Ukiona huwezi kufanya hivyo jua wewe ni mchafu. Pili, hapo yupo juu ya concrete slab ya septic tank na sio chooni.
 
Mbona midume wengi sahvi wananyonya misambwanda ya wanawake
Sasa huyo kuweka hapo juu tu unaona kesi

Ova
 
Back
Top Bottom