Picha: Mfahamu Adui namba moja wa Wema Sepetu

Picha: Mfahamu Adui namba moja wa Wema Sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Anaitwa Imelda Mtema ni mwandishi wa habari wa global publisher. Huyu anajifanyaga ana urafiki na mastaa wa bongo movie lakini kumbe akigeuka nyuma anaenda kuwaandika vibaya kwenye magazeti ya boss wake shigongo.

Duh wema ana bahati mbaya kila mtu anamgeuka, huyu Imelda alikuwa rafiki mkubwa wa Wema Sepetu hadi kule arusha kwenye show ya mirror walienda nae na wakalala chumba kimoja , walivyorudi bongo kaenda kuwaandika kwenye magazeti ya Shigongo kuwa walienda Arusha kujiuza.

Juzi tena alimripoti Wema Sepetu kuwa anafanya mchezo mchafu na Aunty Ezekiel, kama haitoshi tena wiki iliyopita kamwandika baby wake Sepetu ndomo kuwa anataka kuwa shoga kitendo kilichomtibua mlimbwende huyo na kwenda kufanya timbwil global publisher.

Wema alimfuata hadi ofisini huyu bidada na kutaka kumuangushia kipigo heavy.
 
hivi huyo Imelda ashawahi kufanya kazi kwenye redio station yoyote au nachanganya majina.
 
Anaitwa Imelda mtema ni mwandishi wa habari wa global publisher. Huyu anajifanyaga ana urafiki na mastaa wa bongo movie lakini kumbe akigeuka nyuma anaenda kuwaandika vibaya kwenye magazeti ya boss wake shigongo. Duh wema ana bahati mbaya kila mtu anamgeuka, huyu Imelda alikuwa rafiki mkubwa wa wema sepetu hadi kule arusha kwenye show ya mirror walienda nae na wakalala chumba kimoja , walivyorudi bongo kaenda kuwaandika kwenye magazet ya shigongo kuwa walienda arusha kujiuza, juzi tena alimripoti wema sepetu kuwa anafanya mchezo mchafu na aunty Ezekiel, kama haitoshi tena wiki iliyopita kamwandika baby wake sepetu ndomo kuwa anataka kuwa shoga kitendo kilichomtibua mlimbwende huyo na kwenda kufanya timbwil global publisher. Wema alimfuata hadi ofisini huyu bidada na kutaka kumuangushia kipigo heavy.

Kweli kabisa huyo IMELDA amezidi kumfatafata wema, asiyekaa akafanya yake kila siku kumuandikatu kwenye magazeti, me ningekuwa wema ningemtafuta mwanasheria kama MABERE MARANDO hivi alafu nikapelekeshana na shigongo kwenye vyombo vya sheria, Lile baba kama lina laana kutwa kucha kuwaandika watu wote vibaya kwenye magazeti, angekuwa nchi za ulaya wangekuwa wameshamshoot siku nyingi shigongo...
 
Shigongo Anawaponza wenzie, mbona yeye aandiki uchafu wa marafiki zake vigogo wa serikalin ? Huyo Imelda kutwa kuhangaika na akina wema, watu wamemuandalia utamu ataisoma namba , akae mkao wa kula.
 
Binamu kidogo nipitweee kumbe ndio maana ailiulizaa imelda yuko wapiiiii au atakomaaaajee
 
Kwanini msi mshauri kwenda hospitali au mahakamani?
 
Huyo dada anahitaji maombi apate hela mana kuishiwa ndio kunaleta shida zote, c yeye alikua anapiga deal na gpl kila cku cjui wema mara teja jumbe mbona hakulalamika.sifa zinaua mara wema kanunua nyumba mbna hakusema nyumba c yake nyamba....u zke, badae haohao wapambe wake wakasema amepangiwa so aache kutafuta mchawi wakati yeye ndio mchawi.pia huyo kadinda anaonekana anatabia za kikekike
 
Nekupenda bure duh, uwe unakuja bhana hata sikuonag humu
 
Wagalatia tatizo wivu umewajaa yaani mmemuona dada anaanza kuingiza mamilioni kwenye shoo zake za maana mnaleta maneno. Go Go Go Dada Wema. Tupo pamoja kukutetea popote uendapo. #Ulipo_Tupo#
 
Wagalatia tatizo wivu umewajaa yaani mmemuona dada anaanza kuingiza mamilioni kwenye shoo zake za maana mnaleta maneno. Go Go Go Dada Wema. Tupo pamoja kukutetea popote uendapo. #Ulipo_Tupo#
Ngoja nikushauri kitu.Kabla yakuanza kuandika kilichopo kichwani kwako ungesoma atleast ujue hiyo thread ni mwaka gani na isitoshe hakuna mtu anamuonea wivu Wema maana yeye mwenyewe hamnazo zaidi tunamuonea huruma
 
Wivu unawasumbua nyie Wagalatia huyo Dada ni International Celebrity ana ukwasi wa kutisha unaokaribia 295 Bilioni niambie nani wa kumkaribia hapa Bongo? Au ndo mlitaka Rose Muhhando ndo awe TOP. mmenoa!! Tunataka vijana wawe kama wewe unaetumia vipaji vyako kujitafutia pesa halali. #team_WemaFOREVER#
 
Is your head ok? Jeez confused soul!!
 
Back
Top Bottom