Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

With due respect...hebu tazama walivyonona na manyama uzembe na hayo majezi ya Chama alafu tazama hayo mazingira ya elimu ya hao watoto...
Hiki ni kikundi cha wezi hapo Morogoro...very Sad
 
Hawa jamaa wana dharau sana na kibri kiwango cha lami.
Wakati wa kampeni utawaona wanapy magoti kuomba kura na kuosha masufuri.
Zamani ata magoti walikuwa hawapigi lani kwa sasa wanapiga. Je baada ya staili ya magoti nini watafanya?
 
Sehemu ambayo CCM wanaibia hela
Ni kwenye ziara na uzinduzi Nina uhakika ikisitishwa ziara moja ya kiongozi mmoja. na hiyo hela ya hela ikapelekwa kujenga hiyo Shule ingetosha kabisa kuijenga hiyo Shule kwa viwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…