Sahihi kabisa.Sehemu ambayo CCM wanaibia hela
Ni kwenye ziara na uzinduzi Nina uhakika ikisitishwa ziara moja ya kiongozi mmoja. na hiyo hela ya hela ikapelekwa kujenga hiyo Shule ingetosha kabisa kuijenga hiyo Shule kwa viwango.
Hebu fikiria gharama iliyotumika kuwafikisha hapo hao watendaji wa chama ingeenda direct hapo nini kingetokea?...
Ndio maana huwa nasema kuna mambo mengi sana ya kipumbavu yanafanywa as if taifa la Tanzania limejaa mazezeta.