Sahihi kabisa.Sehemu ambayo CCM wanaibia hela
Ni kwenye ziara na uzinduzi Nina uhakika ikisitishwa ziara moja ya kiongozi mmoja. na hiyo hela ya hela ikapelekwa kujenga hiyo Shule ingetosha kabisa kuijenga hiyo Shule kwa viwango.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjUView attachment 2031268View attachment 2031266
Kugawa tigoZamani ata magoti walikuwa hawapigi lani kwa sasa wanapiga. Je baada ya staili ya magoti nini watafanya?
JiheshimuKugawa tigo
Duh.CCM ni chama cha wauwaji.
Madarasa mawili yangepatikana.Sahihi kabisa.
Hebu fikiria gharama iliyotumika kuwafikisha hapo hao watendaji wa chama ingeenda direct hapo nini kingetokea?...
Ndio maana huwa nasema kuna mambo mengi sana ya kipumbavu yanafanywa as if taifa la Tanzania limejaa mazezeta.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjUView attachment 2031268View attachment 2031266
UTASIKIA VYAMA VYA UPINZANI VIMECHELEWESHA MNO MAENDELEO ! NYAMBAFUUUUUUUUMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjUView attachment 2031268View attachment 2031266
Halafu bila aibu wanpiga na Picha ki mapozi'😁😁Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjUView attachment 2031268View attachment 2031266
Morogoro Wamepata Mkopo Wa IMF Kuboresha Shule ShikiziShule Shikizi:
Ni shule zinazojengwa temporary hususan kwa jamii zenye mfumo wa kuhamahama kama vile wafugaji;Mengine kama sio kujenga chuki tuwaachie wanasiasa
Mkopo mpaka ujenzi ni mchakato,nafkiri wazo mbadala pesa kama inatosha zibadilishwe mfumo kutoka ujenzi kwenda mfumo wa macontainer,zitakuwa na muonekano mzuri na urahisi wa kuhamishika pale itakapolazimuMorogoro Wamepata Mkopo Wa IMF Kuboresha Shule Shikizi
MkuuMkopo mpaka ujenzi ni mchakato,nafkiri wazo mbadala pesa kama inatosha zibadilishwe mfumo kutoka ujenzi kwenda mfumo wa macontainer,zitakuwa na muonekano mzuri na urahisi wa kuhamishika pale itakapolazimu
Muda wowote Mungu atatenda Miujiza.Mungu hili Zimwi(CCM) utatunyofolea lini?
Inshaalah! Bwana Yesu asifiwe.Muda wowote Mungu atatenda Miujiza.