Mkuu,
Huenda tukawa na experience tofauti katika hili, nyumba ni asset ambayo return yake inachukua mda sana. Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba unaweza ku-benefit na familia yako in the future.
Katika ujengaji wa nyumba, kuna factors nyingi ikiwemo ya location, kuna nyumba hazilipi just coz of location, zipo nyumba hazilipi coz management mbovu. Ukarabati wa nyumba ni lazima, lakini sidhani after 5yrs utatumia the same amount anayolipa mteja kukarabati nyumba.
Nikupe mfano, my friend alipanga nyumba(ipo kwenye potential location pale Kimara), it's a 3BR house, 6,000,000/- kwa mwaka. Baada ya miaka mitano ni roughly 30,000,000/- niambie ni ukarabati gani huo uta-cost 30,000,000 mkuu?
Niambie tu labda kwa conditions za uwekezaji bongo, japo sio katika real estate tu, hata areas nyingine huwezi kupata free ride.