Picha: Mji wa Kiserikali Dodoma au Magufuli City - Dodoma

Kwenye hili namsifu hayati, hii ni njia nzuri ya kutawanya maendeleo.

Naomba nimshauri mama yetu kipenzi cha wa-Tanzania kwamba siyo lazima mihimili yote ihamie Dodoma.

kama serikali iko Dodoma basi muhimili wa mahakama ubakie Dar

Bunge lenye watu wenye qualification ya darasa la nne yaani kujua kusoma nakuandika walipeleke Sumbawanga
 
Mahakama kuu ipo makuru Dodoma Imekamilika 90% asilimia
 
Mliambiwa huyu mtu ni kichaa hamkutaka kusikia, kwenye nchi zinazofanya vetting ya kweli asingepata hata nafasi ya kuchukuwa fomu ya kugombea.
Trump pia ni kichaa lakini alikuwa Rais wa US taifa lenye VETTING kuliko Taifa lolote Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…