Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Huyu mnafiki tu. Arudishe Toto afya kadi kama kweli anauchungu na watoto
Sitoshangaa ikitumika billion 10 kuprint mabango na kuyabandika nchi nzima!
Sawa, japokuwa hakuzuia kuondolewa kwa Bima ya Toto Afya kadi!
Upendo uwe kwa vitendo