Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

Hao walinzi wao hata hawaaminiki,yule wa dully sykes wanayemuita Arafat Ngumi jiwe,watoto wadogo wa kitaa wamemfanyia yao mixer kumrekodi mpaka wakamtupia youtube.
Miili mikubwa ila wacameron.

"Nlikiwepo":bolt:

Huyu mlinzi kwanza ndo ataiba hizo gold asepe
 
watu wanalindana bado kwa kutumia analojia ,
 
hivi huyu heaven on desert ni he au she?kama ni he nina shaka ni rice.
 
Alafu nimeanza kuhisi diamond kweli ni freemason kama watu wasemavyo,nilikuwa namchukua lkn siku hizi ghafla nimekuwa shabiki wake

hahaha usitake kutuchekesha tulionuna sasa hivi ijumaa na mshahara bado haujaingia..
 
Wee heaven?? bodyguard wa nini diamond??..
 
Smahn ndugu..daima sijawahikuwa na ID zaidi ya hii...huyo anaejiita kiface hata simfaham maybe kaamua kujiita hivyo ili aupate umaarufu kupitia mimi coz insta natumia kifesi
 
Last edited by a moderator:
Sura yake inaonyesha kama vile ni mtambo hivi.

Bora useme wewe, nikajua labda macho yangu yana matege, sidhan kama ndomo anampa laki tano kweli, anaonekan hajielw helew
 
Utamtegemea vipi mwanadam mwenzio akulinde....Mungu ndio mweza wa yote...Kama Mungu hatailinda nyumba wailindayo wanakesha bure.......tafakari chukua hatua
 
Sasa analindwa nini Tanzania nchi ya Amanii hahhhahhaajhhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…