Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

Ha ha ha acha hizo wewe unaniheshimu nimekuzaa???
snowhite kauliza nimempa jibu sa hapo kilichovunja heshima ni kipi?
afu uache matusi unatukana sana kule fesibuku kisa kumtetea kikwete...
mmh! kumbe na nyie mnashindaga na watoto fesibuku? yaani mi nilishagatiwa uvivu wa kuingia huko nikakosa hamu kabisa. naingiaga huko ili nikacheki kwenye profesheno group yangu kuna tangazo gani
 
mmh! kumbe na nyie mnashindaga na watoto fesibuku? yaani mi nilishagatiwa uvivu wa kuingia huko nikakosa hamu kabisa. naingiaga huko ili nikacheki kwenye profesheno group yangu kuna tangazo gani

Naingiaga kusoma udaku tu si mtumiaji wa fesibuku mie
 
ahahahahhahahahahhahahahhahahahhaha af sipendi hii tabia!
uwe unanialert kuwa utavunja mbavu zangu banaaaaa!

Ha ha ha ha naomba uungane namie kumfollow huyu celebrity.....
popote aendapo ntamfatilia tuuuuuuuu
 
Unatatizo gani na mim we mwanamke?naomba unijbu kwanza coz sikuelew Evelyn Salt

Mimi sina tatizo na wewe, ila....
ninakupenda wewe ni mtu unaejiamini, hausikilizi maneno wala kujali yani sifa zako ni kibao
nyingine atanisaidia snowhite
inshort mi nakukubali sanaaa haki ya mama hata Dinazarde anajua hili
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina tatizo na wewe, ila....
ninakupenda wewe ni mtu unaejiamini, hausikilizi maneno wala kujali yani sifa zako ni kibao
nyingine atanisaidia snowhite
inshort mi nakukubali sanaaa haki ya mama hata Dinazarde anajua hili

ahahahahahahhahha mi nashangaa hajijui kuwa yeye ni star na sisi ni mashabiki wake lazima tujue anafanya nini kila dakika kila uchao!
enh ndio tunamfollow sasa ngaaaz kwa ngaaaaz!
hatua kwa hatua
step by step!
 
ahahahahaha after yu siissie!
sa tutafanyaje na sie ndo tushakuwa fans wake!

Ukisikia msanii kioo cha jamii ndo hivi, lazma watu wakuangalie
nasisi yutamwangalia tuuu he he he he
 
Back
Top Bottom