Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

Hao walinzi wao hata hawaaminiki,yule wa dully sykes wanayemuita Arafat Ngumi jiwe,watoto wadogo wa kitaa wamemfanyia yao mixer kumrekodi mpaka wakamtupia youtube.
Miili mikubwa ila wacameron.

"Nlikiwepo":bolt:

Huyu mlinzi kwanza ndo ataiba hizo gold asepe
 
hivi huyu heaven on desert ni he au she?kama ni he nina shaka ni rice.
 
Alafu nimeanza kuhisi diamond kweli ni freemason kama watu wasemavyo,nilikuwa namchukua lkn siku hizi ghafla nimekuwa shabiki wake

hahaha usitake kutuchekesha tulionuna sasa hivi ijumaa na mshahara bado haujaingia..
 
Smahn ndugu..daima sijawahikuwa na ID zaidi ya hii...huyo anaejiita kiface hata simfaham maybe kaamua kujiita hivyo ili aupate umaarufu kupitia mimi coz insta natumia kifesi
 
Last edited by a moderator:
Utamtegemea vipi mwanadam mwenzio akulinde....Mungu ndio mweza wa yote...Kama Mungu hatailinda nyumba wailindayo wanakesha bure.......tafakari chukua hatua
 
Sasa analindwa nini Tanzania nchi ya Amanii hahhhahhaajhhaa
 
Back
Top Bottom