Picha: Mlinzi mkuu wa Diamond

hata obama mwenyewe analindwa hv sometym,sembuse diamond

Sasa Barack Obama rais wa dunia huyu ni rais wa wasafi wala hawalingani huyo baunsa akishtuliwa kidogo tu atamuacha chezea wabongo
 
Ahame kwanza kule uswahilin sinza ..anajishaua kuweka ma bodyguard wakat anaish uswahilin...maza faka
 
Hahaaa anaogopa kupigwa na clement kasema atakapomuona kipigo Hahhahhaha
 
Hahaaa anaogopa kupigwa na clement kasema atakapomuona kipigo Hahhahhaha

Diamond hampat clement kwa lolote, sio elimu wala mafanikio....akitak kumdhur dakika sifuri...mtu wa ikulu yule
 
Ahame kwanza kule uswahilin sinza ..anajishaua kuweka ma bodyguard wakat anaish uswahilin...maza faka

We jamaa sikuelewag,mara unajifanya wamfahamu sana Dai mara ucoments chuki chuki tu
 
We jamaa sikuelewag,mara unajifanya wamfahamu sana Dai mara ucoments chuki chuki tu

Boss wako anatia aibu, mashauz yote mjini kujifanya staa anaish kwenye nyumba ya kupanga tena uswahilin..hayo mamilion ya show anapeleka wap? Gari yenyewe ya kuhongwa miradi ya maana hana maana tungejua tu apa mjini, mi nashangaa oooh diamond millionaire sasa sijui hayo mamilion anapeleka wap
 
Hheee mbuzi kafiaaa kwa muuza supuuuu😀 mambo mengine anapotezaa muda ,clement ashajipatia kimwana mpyaa

Halafu huyo boss mwenye pesa ashamnunulia vifaa Wema Sepetu pia na kumpangishia jumba la kifahalii khaaaa!!!!!!!!!!
 
Alafu nahic D anatumia mkorogo wa wema huo weupe ni wakutilia shaka sana
 
Alafu nahic D anatumia mkorogo wa wema huo weupe ni wakutilia shaka sana

Kazi ipo wanasema ukipata hela kila kitu kinabadilika mpaka na rangi ya ngozi lakin ya huyu. Di inazidi situnaonaga ana piga mpaka wanja na kujilamba lamba mdomo kama paka?.
 
Diamond hampat clement kwa lolote, sio elimu wala mafanikio....akitak kumdhur dakika sifuri...mtu wa ikulu yule
Watu wa Ikullu hawapo katika matangazo!unajuwa Maadili ya Utumishi?ofisi gani pale ikulu yupo!magazeti yanampa promo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…