Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
hata obama mwenyewe analindwa hv sometym,sembuse diamond
Sasa Barack Obama rais wa dunia huyu ni rais wa wasafi wala hawalingani huyo baunsa akishtuliwa kidogo tu atamuacha chezea wabongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata obama mwenyewe analindwa hv sometym,sembuse diamond
Hahaaa anaogopa kupigwa na clement kasema atakapomuona kipigo Hahhahhaha
Ahame kwanza kule uswahilin sinza ..anajishaua kuweka ma bodyguard wakat anaish uswahilin...maza faka
We jamaa sikuelewag,mara unajifanya wamfahamu sana Dai mara ucoments chuki chuki tu
Alafu nahic D anatumia mkorogo wa wema huo weupe ni wakutilia shaka sana
mi nna swali kwako heaven on desert
ulipoamua kujiita kifesi insta manake ulitohoa neno KISURA au?
NAULIZA TU!!
CC Ruttashobolwa, Evelyn Salt na BADILI TABIA
heheeeee ndo maana dougmaster12 walimtusi nini? kifesi = kisura......
mi nna swali kwako heaven on desert
ulipoamua kujiita kifesi insta manake ulitohoa neno KISURA au?
NAULIZA TU!!
CC Ruttashobolwa, Evelyn Salt na BADILI TABIA
Kuna account ya fesibuku pia yaitwa "kisura real love" afu ni dume
bila shaka atakuwa ni yeye huyu, mwanaume an ajira kiface????si bure....
Diamond hampat clement kwa lolote, sio elimu wala mafanikio....akitak kumdhur dakika sifuri...mtu wa ikulu yule
Watu wa Ikullu hawapo katika matangazo!unajuwa Maadili ya Utumishi?ofisi gani pale ikulu yupo!magazeti yanampa promo tuDiamond hampat clement kwa lolote, sio elimu wala mafanikio....akitak kumdhur dakika sifuri...mtu wa ikulu yule
Mkuu tafsida kidogo!Mmh hilo mtambo hata sijui kwa kweli, we unaonaje
Kuna account ya fesibuku pia yaitwa "kisura real love" afu ni dume
bila shaka atakuwa ni yeye huyu, mwanaume an ajira kiface????si bure....
Nilikuwa nakuheshimu Evelyn Salt