mmh! kumbe na nyie mnashindaga na watoto fesibuku? yaani mi nilishagatiwa uvivu wa kuingia huko nikakosa hamu kabisa. naingiaga huko ili nikacheki kwenye profesheno group yangu kuna tangazo ganiHa ha ha acha hizo wewe unaniheshimu nimekuzaa???
snowhite kauliza nimempa jibu sa hapo kilichovunja heshima ni kipi?
afu uache matusi unatukana sana kule fesibuku kisa kumtetea kikwete...
ok fanya yako Evelyn Salt
mmh! kumbe na nyie mnashindaga na watoto fesibuku? yaani mi nilishagatiwa uvivu wa kuingia huko nikakosa hamu kabisa. naingiaga huko ili nikacheki kwenye profesheno group yangu kuna tangazo gani
ahahahahhahahahahhahahahhahahahhaha af sipendi hii tabia!Wewe ni bonge moja la celebrity siwezi kuacha kufatilia habari zako heaven on desert
ntakufatilia tuuuu
ahahahahhahahahahhahahahhahahahhaha af sipendi hii tabia!
uwe unanialert kuwa utavunja mbavu zangu banaaaaa!
Evelyn bana hahahahahaha
Ha ha ha sahivi ataanza kupiga picha akiwa kwenye jet uwiiiii ntamfatilia tu
Utakomaje fatiliaa tu atakublock muda si mrefu
Akiniblock namfatilia na zile Id zangu sita...
Basi atakukoma na ulivyo king'ang'anizi hee utasemwa unatafuta kikii
Ha ha ha ha eti king'ng'anizi
ntakomaa nae tu mie
Unatatizo gani na mim we mwanamke?naomba unijbu kwanza coz sikuelew Evelyn Salt
Ha ha ha ha naomba uungane namie kumfollow huyu celebrity.....
popote aendapo ntamfatilia tuuuuuuuu
ahahahahahahhahha mi nashangaa hajijui kuwa yeye ni star na sisi ni mashabiki wake lazima tujue anafanya nini kila dakika kila uchao!
enh ndio tunamfollow sasa ngaaaz kwa ngaaaaz!
hatua kwa hatua
step by step!
ahahahahaha after yu siissie!
sa tutafanyaje na sie ndo tushakuwa fans wake!
Hahhahha jaman #heaven unapendwa hupendekii lol hebu msikilize fans wako #evelynsalt banaa
Huyo mlinz kafanana na ostadh juma