Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
Huyo mlinzi mbona kama hamnazo
Hahahaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mlinzi mbona kama hamnazo
Haya ngoja tupite mbali.Mmh hilo mtambo hata sijui kwa kweli, we unaonaje
View attachment 135727
View attachment 135728
ALL PICTURES BY @heaven on desert
instagram @ kifesi
official diamond's
blogger and photographer
whats the point behind ya kuwa na id mbili??wewe ulete mada tena wewe uchangie kwa id nyingine it doesnt make sense.kuwa na id moja tu au kama umeamua kuipiga chini h.o.d basi acha upromote jina lako.
whats the point behind ya kuwa na id mbili??wewe ulete mada tena wewe uchangie kwa id nyingine it doesnt make sense.kuwa na id moja tu au kama umeamua kuipiga chini h.o.d basi acha upromote jina lako.
Yaani unamanisha MTAMBO AU?
Alafu nimeanza kuhisi diamond kweli ni freemason kama watu wasemavyo,nilikuwa namchukua lkn siku hizi ghafla nimekuwa shabiki wake
unawezaje kumchukia boc wako!!!....au ndio kutafutiana kick kama kawaida....
mlinzi gani anaangalia chino muda wote sidhani kama anataaluma yeyote ya VIP protection
View attachment 135727
View attachment 135728
ALL PICTURES BY @heaven on desert
instagram @ kifesi
official diamond's
blogger and photographer
Mlinzi au basha
Ukiwa na pesa sometimes raha sana, yaani babu zima linamlinda kijana mdogooo,unaweza kufikiri ni mtu na babake
Swali la kizushi does he realy need kuwa na baunsa wake huyo all the time,coz sikumbuki jay z,michael jacksona wala akon lini nimewaona bodyguards zao.