Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Kesho asubuhi tulete habari mambo yalivyokuwa kitandani pale Mzee Hafidh akitii matakwa ya ndoa 💦 utusimulie amepiga vingapi kwenye morning glory
 
Huyu juzi juzi kununua mijengo ya wachina, apartment, kwa mabilioni tasilimu. Wizi wa awamu hii huenda umevunja rekodi
 
Sasa wewe unakuta kichwa maji halafu unataka ukaoe ushuani huko😀😀 . Ndege wafananao huruka pamoja . Ndio maana mimi nina ruka angani na ephen mpaka ndege wenyewe wanaona wivu.
Unaweza kuthibitisha Hapa kwamba Mchengerwa siyo KICHWA MAJI? na kwamba alioa huyo mke kwa sababu siyo kichwa maji?
 
Afya tele,
 
Wewe mpuuzi tu. Hata ukiambiwa mkapa

Alishirikiaa na JPM kama wazir wake wa ujenzi kuuziana nyumba za umma zipatazo 845 kwa viongozi wa ccm utadai ushahidi tu kwakuwa ni mjinga
Acha makelele yako hapa wewe. Weka ushahidi na siyo kupiga porojo zako
 
Acha makelele yako hapa wewe. Weka ushahidi na siyo kupiga porojo zako
Kwamba kiongozi na rais mstaafu wa TANZANIA na kiongozi wa CCM, bwana Benjamin William Mkapa kushirikiana na waziri wake wa nyumba bwana JOHN POMBE MAGUFULI waliziuza Nyumba za umma 845 kwa viongozi wenzao wa ccm na serikali yake miaka ya 2000s ni KELELE?
Ukapimwe akili wewe
 
Kuna wakati upumbavu haifai kuunyamazia..., kwa hiyo niongezee sifa katika hiyo orodha yako..., kwamba, huyo mtoto akitoa ushuzi kwako utauita marashi!
Kawaida huwa mada zako sisomi, ila nimevutwa na "picha" kama ulivyo tangaza awali ya yote.
 
Acha upambe wa kimareshi kutwa kusifia ujinga tu
 
Kuna wakati upumbavu haifai kuunyamazia..., kwa hiyo niongezee sifa katika hiyo orodha yako..., kwamba, huyo mtoto akitoa ushuzi kwako utauita marashi!
Kawaida huwa mada zako sisomi, ila nimevutwa na "picha" kama ulivyo tangaza awali ya yote.
Acha ujinga wako hapa.
 
ungekua manzi ungekua na watoto 425
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…