Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Pole sana, ulitaka aweke ya kiingereza?!!! Yapo mengi tu usijali we punguza tu chuki hizo za kidini utaona ukweliMakochi ya kifalme opsss kiarabu kisultani. Muda wao kufaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, ulitaka aweke ya kiingereza?!!! Yapo mengi tu usijali we punguza tu chuki hizo za kidini utaona ukweliMakochi ya kifalme opsss kiarabu kisultani. Muda wao kufaidi
Acha wivu wako wewe.Hao jamaa wanakula mema ya nchi bure kabisa...ndo muda wao wa kutamba sasa na kufaidi.
Pole sana, ulitaka aweke ya kiingereza?!!! Yapo mengi tu usijali we punguza tu chuki hizo za kidini utaona ukweli
Huyu juzi juzi kununua mijengo ya wachina, apartment, kwa mabilioni tasilimu. Wizi wa awamu hii huenda umevunja rekodiNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Ushahidi upo wapi?Huyu juzi juzi kununua mijengo ya wachina, apartment, kwa mabilioni tasilimu. Wizi wa awamu hii huenda umevunja rekodi
Unaweza kuthibitisha Hapa kwamba Mchengerwa siyo KICHWA MAJI? na kwamba alioa huyo mke kwa sababu siyo kichwa maji?Sasa wewe unakuta kichwa maji halafu unataka ukaoe ushuani huko😀😀 . Ndege wafananao huruka pamoja . Ndio maana mimi nina ruka angani na ephen mpaka ndege wenyewe wanaona wivu.
Alishirikiaa na JPM kama wazir wake wa ujenzi kuuziana nyumba za umma zipatazo 845 kwa viongozi wa ccm utadai ushahidi tu kwakuwa ni mjingaUshahidi upo wapi?
Waulize waoUshahidi upo wapi?
Naona unajificha kwenye mkaranga mwanaJFWapi nimeongelea dini?
Naona unajificha kwenye mkaranga mwanaJF
Afya tele,Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Acha makelele yako hapa wewe. Weka ushahidi na siyo kupiga porojo zakoWewe mpuuzi tu. Hata ukiambiwa mkapa
Alishirikiaa na JPM kama wazir wake wa ujenzi kuuziana nyumba za umma zipatazo 845 kwa viongozi wa ccm utadai ushahidi tu kwakuwa ni mjinga
Kwamba kiongozi na rais mstaafu wa TANZANIA na kiongozi wa CCM, bwana Benjamin William Mkapa kushirikiana na waziri wake wa nyumba bwana JOHN POMBE MAGUFULI waliziuza Nyumba za umma 845 kwa viongozi wenzao wa ccm na serikali yake miaka ya 2000s ni KELELE?Acha makelele yako hapa wewe. Weka ushahidi na siyo kupiga porojo zako
Kuna wakati upumbavu haifai kuunyamazia..., kwa hiyo niongezee sifa katika hiyo orodha yako..., kwamba, huyo mtoto akitoa ushuzi kwako utauita marashi!Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Acha upambe wa kimareshi kutwa kusifia ujinga tuNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Acha ujinga wako hapa.Kuna wakati upumbavu haifai kuunyamazia..., kwa hiyo niongezee sifa katika hiyo orodha yako..., kwamba, huyo mtoto akitoa ushuzi kwako utauita marashi!
Kawaida huwa mada zako sisomi, ila nimevutwa na "picha" kama ulivyo tangaza awali ya yote.
Mimi sisifii bali naongea ukweli.Acha upambe wa kimareshi kutwa kusifia ujinga tu
ungekua manzi ungekua na watoto 425Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Hata baba yako hajawahi kukalia makochi ya hivyo mbugila wewe 🥴🥴🥴🙌Kweli akili yako unaijua Mwenyewe. Yaani watu wapo na huzuni halafu wewe unawaza makochi tu. Ndio nyie Mkienda msibani mnawaza kuiba tu vitu vya msibani.