Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Asee huyo wife hakosi kg 200....ndio hela zipo za kula Manyama, Masoseji lakin ajaribu kutokula kila kitu ili atunze Afya.
All in all MUNGU awape nguvu kipindi hiki cha kumpoteza mpendwa wao.
 
Wewe unajipendekeza bure, huyo waziri amehusika kwenye mauaji ya watanzania wasio na hatia, unamuonea huruma ya nini. Acha kujipendekeza wewe mjinga.
 
Hakika !
 
Fundi wa uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Sigara bwege bila shaka🤣
 
Kochi kama hilo nilikalia Ukumbini 🤣 kumbe kuna watu wanayo sebleni kwao
 
Kweli akili yako unaijua Mwenyewe. Yaani watu wapo na huzuni halafu wewe unawaza makochi tu. Ndio nyie Mkienda msibani mnawaza kuiba tu vitu vya msibani.
Huzuni wakati hata marehemu haujawahi kumuona! Tukiishi hivyo basi muda wote tutakuwa tunalia kwa kufiwa.
Onyo: Msitumie pesa za udokozi kwenda Hijja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…