Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .

Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.

Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.

Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Asee huyo wife hakosi kg 200....ndio hela zipo za kula Manyama, Masoseji lakin ajaribu kutokula kila kitu ili atunze Afya.
All in all MUNGU awape nguvu kipindi hiki cha kumpoteza mpendwa wao.
 
Wewe unajipendekeza bure, huyo waziri amehusika kwenye mauaji ya watanzania wasio na hatia, unamuonea huruma ya nini. Acha kujipendekeza wewe mjinga.
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Hakika !
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .

Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.

Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.

Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Fundi wa uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Salamu nyingi za pole Kwako mh.waziri
Kwa Nia njema TU. Nimewai kuwa mpanga roaster book kwenye mambo ya ulinzi na usalama kwa muda wa miaka miwili..

Maaskari wengi wanatumiaga vilevi pombe Kali, Bangi, ugolo n.k
Nikadevelop uwezo mkubwa wa kutambua mtu akitumia kilevi chochote kile ntamjua TU.

Nikimwangalia mh.waziri Kuna kilevi anakitumia na assume kua sahihi.

Naomba kuwasilisha.
Sigara bwege bila shaka🤣
 
Kochi kama hilo nilikalia Ukumbini 🤣 kumbe kuna watu wanayo sebleni kwao
 
Kweli akili yako unaijua Mwenyewe. Yaani watu wapo na huzuni halafu wewe unawaza makochi tu. Ndio nyie Mkienda msibani mnawaza kuiba tu vitu vya msibani.
Huzuni wakati hata marehemu haujawahi kumuona! Tukiishi hivyo basi muda wote tutakuwa tunalia kwa kufiwa.
Onyo: Msitumie pesa za udokozi kwenda Hijja.
 
Back
Top Bottom