Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #121
Embu acha Shobo kwa ephen.Uchawa wake huyu umepitiliza hebu mshauri atulie wanaweza kumfikiria
Mchengerwa amempa utendaji wa mtaa, kumbuka Lucas hana cheti cha F4 alipata zero, Mchengerwa kamsaidia amekuwa VEO. Hata kama ni mimi lazima ningeenda, akufaae wakati wa dhiki ndiyo ndugu ako.kimbelembele tu misiba ya kwenu chimba unye huko hata kufika ni shida kazi kuabudu watu utakuwa unatatizo la yas kuwasha
Mimi ni mzalendo wa kweli.Chawa mbobevu
Ukishajifukiza kichwani unaanzaga kuongea uongo uongo Utafikiri unasimulia Watoto wenzako.Mchengerwa amempa utendaji wa mtaa, kumbuka Lucas hana cheti cha F4 alipata zero, Mchengerwa kamsaidia amekuwa VEO. Hata kama ni mimi lazima ningeenda, akufaae wakati wa dhiki ndiyo ndugu ako.
Huyo ndio mtoto WA mama Samiyya??
Ulitakiwa ujibu tu NDIYO! Ila ukaona uongeze na porojo nyingine ambazo hazina uhusiano na swali. Kweli wewe ni zaidi ya CHAWA. 🚮Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Siku akili yangu ikija kuwa Kama yako naomba ndugu zangu waniue, maana ni hasara kubwaMashati ya kijani ndio mashati yenye kuleta amani na tabasamu kwa watanzania.
Wanafahamiana hilo nina ushahidi nao, Mchengerwa kamsaidia sn Lucas mpk kuwa VEOUmemjulia wapi wewe chawa?
Kitu kimoja nakukubali huwa una shukrani kwa watu waliokusaidia.Ukishajifukiza kichwani unaanzaga kuongea uongo uongo Utafikiri unasimulia Watoto wenzako.
Hata wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi maana hakuna wanachofaidika kutoka kwakeSiku akili yangu ikija kuwa Kama yako naomba ndugu zangu waniue, maana ni hasara kubwa
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nani kasema najikomba ndugu yangu.Yaan nmeona aibu mm msomaji ,,duu hongera Kwa kujikomba kwenye hii familia!!!
Wewe uliyetulia umepewa cheo gani? Kwanini unamuonea wivu Lucas🤔Uchawa wake huyu umepitiliza hebu mshauri atulie wanaweza kumfikiria
Wewe ni mwanaume? Una mke au mtoto?Tupo katika majonzi na maombolezo ya kifo cha Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa
Kumbee naomba zake nimsalimieNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nimezidi nini ndugu yangu
Shobo unazo mtot wa kiume ,sipat picha dada zako wakoje??Khaaaaah we jamaa sasa umezidi aiseee
Mimi sihitaji cheo kama ningetaka ningekipata tena siku nyingi tu lakini siyo mtazamo wangu kimaisha napenda kuishi maisha very private. Mimi simuonei wivu bali namshauri njia anayotumia ni ndefu sana na haitamfikisha atakapo, uchawa wake umepitiliza kiasi hata hizo mamlaka za uteuzi zinakuwa na shaka na upeo wake.Wewe uliyetulia umepewa cheo gani? Kwanini unamuonea wivu Lucas🤔
Chawa mwandamiziMimi ni mzalendo wa kweli.