Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Da wewe jamaa umeshindikana kwa uchawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nimebubujikwa 😢😢
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .

Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.

Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.

Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Sina hela lakini hata nikiwa nazo siwezi nunua sofa kama hizo,sawa na mtu kajenga nyumba nzuri halafu ukiingia ndani unakuta tv ni aboder au sundar
 
Pole na msiba.Nje ya mada mwanamke apambe sebule vizuri inangangaa sana na dhahabu feki kama ya wasafi wakati ni first family.
Sijui huko wanakosafiri kila uchwao huwa wanajifunza nini!,me nilitegemea watu kama hao watakuwa na exposure wanajua vtu vingi kumbe holla tazama hizo sofa mtu wangu, meza ya mikutano ndo imewekwa sebuleni, ukute ukutani kuna tv ya sundar na sabufa
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Khaaaaah we jamaa sasa umezidi aiseee
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Luca umeshindikana.
 
Vipi, walikosa pesa za kusafirishia mwili wa marehemu hata wazike huko uarabuni? naona kama wamekosea.
 
Yule mke mwingine kafichwa wapi

Back
Top Bottom