Kidogo nimeona kosa sijui picha tu? Kwa mbali huyu mama ngozi yake ya mkono inaonekana yaani baibui lake ni transparent. Kama kweli macho yangu yapo sawa basi haitakiwi mwanamke wa kiislamu kuvaa ngui transparent. Kaka macho yangu makengeza anisameheNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.