Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Hata wewe unaweza kununua ukidhamiria kununua.Nimependa hizo Fanicha, na Decor pia.
Wanaokula mema ya nchi ndo hawa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe unaweza kununua ukidhamiria kununua.Nimependa hizo Fanicha, na Decor pia.
Wanaokula mema ya nchi ndo hawa hapa.
Mke WA kwanza,sijamuona, akipewa pole! Hii imekaajeNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Kweli kila ntu na ntuwe.
Bila bi faiza kulisema hili siwezi kuamin popote alipo bimkubwa uje utufafanulie hiliKwa utaratibu wa kiislam hujaji akifia macca mukarrama atazikwa huko na serikali ya saud itagharamia kila kitu👃👃
Mema ya nchi au wanu?Huyu mwamba naona anakula mema ya nchi
Msasa wa nini huokumbe kaka ni familia nzima unaigongea msasa
Hakwenda kumzika baba yakeNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Huyo mkewe ni Samia copy kabisaNdugu zangu Watanzania,

Hana Majinn ?Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Wewe unayo?Hana Majinn ?
Uchawa kazi sana.Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Hakuna uchawa hapa.Uchawa kazi sana.
Eti nae ni mbunge..Huyo ndio mtoto WA mama Samiyya??
Ile kesi yako ya wizi wa mahindi hapo vwawa uliimaliza?Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Una kimbelembele hadi kwenye familia za watu.Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Acha chuki zako binafsi na roho ya kishetani.Una kimbelembele hadi kwenye familia za watu.