Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

kimbelembele tu misiba ya kwenu chimba unye huko hata kufika ni shida kazi kuabudu watu utakuwa unatatizo la yas kuwasha
Mchengerwa amempa utendaji wa mtaa, kumbuka Lucas hana cheti cha F4 alipata zero, Mchengerwa kamsaidia amekuwa VEO. Hata kama ni mimi lazima ningeenda, akufaae wakati wa dhiki ndiyo ndugu ako.
 
Huyo ndio mtoto WA mama Samiyya??
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Ulitakiwa ujibu tu NDIYO! Ila ukaona uongeze na porojo nyingine ambazo hazina uhusiano na swali. Kweli wewe ni zaidi ya CHAWA. 🚮
 
Yaan nmeona aibu mm msomaji ,,duu hongera Kwa kujikomba kwenye hii familia!!!
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
 
Huyo mchee the minister kaoa status kusema huyo bi dada mtoto wa presdaa mkyuti big no hakuna kitu ila kwakuwa inakufanya ule mema ya nchi unalipiga hivo hivo hilo tipwa tipwa.
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Kumbee naomba zake nimsalimie
 
Wewe uliyetulia umepewa cheo gani? Kwanini unamuonea wivu Lucas🤔
Mimi sihitaji cheo kama ningetaka ningekipata tena siku nyingi tu lakini siyo mtazamo wangu kimaisha napenda kuishi maisha very private. Mimi simuonei wivu bali namshauri njia anayotumia ni ndefu sana na haitamfikisha atakapo, uchawa wake umepitiliza kiasi hata hizo mamlaka za uteuzi zinakuwa na shaka na upeo wake.
 
Back
Top Bottom