Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Mbona yanakutoka maneno machafu kama umekunywa maji ya chooni?Punguza povu hilo wewe kapuku.
 
Huyo chizi tu .anapita humu jukwaani akijitekenya na kujichekesha mwenyewe kwa kudanganya watu eti ana kampuni yake binafsi. Yaani huyo ni tapeli tapeli tu.
Hivi kumiliki kampuni kwako wewe unaona ni jambo lisilowezekana? Hiyo ndiyo athari za kuwa na mawazo mgando ya kuishi kwa kutegemea kuajiriwa, pole sana, naona huishi kulizungumzia naona unaumia sana , njoo DM nikupe location uje ofisini kwangu nafikiri unaweza kuhamasika ukaachana na huu upuuzi unaofanya hapa jukwaani.
 
Lucas mwenyewe ana kampuni yake ya kugeuza mahindi kua unga wa sembe.
 
Hivi unafikiri kampuni inaweza kuongozwa na kusimamiwa na hata machizi?
 
Anakushangaa sababu pesa huwa haipigi kelele ila wewe kelele kama zote.
Sijapiga kelele nimemwambia anitembelee aone ninachofanya sijazungumzia habari ya pesa, nizungumzie pesa mimi Bhakresa atazungumizia nini?
 
Hao jamaa wanakula mema ya nchi bure kabisa...ndo muda wao wa kutamba sasa na kufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…