Picha: Moja ya shule zilizokarabatiwa na kujengewa madarasa na pesa za UVIKO, Tozo na Tril 1.3 za foreign reserves

Picha: Moja ya shule zilizokarabatiwa na kujengewa madarasa na pesa za UVIKO, Tozo na Tril 1.3 za foreign reserves

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Screenshot_20230313-121843.jpg
 
Hayo mawe ni mapambo , alaf huyo jogoo 😋
 
Siasa Ni utapeli na wizi wa Kodi na raslimali za wananchi. Sidhani Kama Kuna kiongozi anakufa huku akila kile Cha kwake stahiki anachopata bila kuuza raslimali za wananchi wake.

Yaani hii Bora sijui tungeishi kila kabila na serikali yao.
Ama wazungu warudi Tena watawale.
Yaani mtu anapambana apate uongozi ili aibe.
 
Aisee Mama amepiga mwingi hii shule ni mfano wa kuigwa kabisa kabisa!
Aisee imerembwa sana sana
 
Mbona unaongea uongo mkuu, kwa faida gani.

Mwenyewe unasema picha baada ya ukarabati alafu hapo hapo unasema picha shule iko hivi tangu imeanzishwa mwaka 1992!

Tushike lipi mkuu.

Ungesema tu shule imechakaa imechoka na imepitwa na kahela ka uviko.
 
Watu wako buzzy kupinga ushoga, Elimu sio kipaumbele chao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Word. Hawa watu including wananchi wanatumia nguvu zote kupambana na ushoga jambo ambalo ni almost negligible ila mambo ya msingi yanayomgusa kila mtu hayana msingi kwao.

I don't condone ushoga ila same energy itumike.
 
Word. Hawa watu including wananchi wanatumia nguvu zote kupambana na ushoga jambo ambalo ni almost negliglible ila mambo ya msingi yanayomgusa kila mtu hayana msingi kwao.

I don't condone ushoga ila same energy itumike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao wako buzzy na ushogaa tyuuh, haya mengine sio shida zao.
 
Back
Top Bottom