Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]







[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hivi huyo manzi si anafamilia kabisa au !
 
umaarufu ni shida......picha gani hizo.....
 
baba yake anasuka na kuvaa eleni

Huyu mzee nilikuwaga namwona kama ni mtu wa ajabu ila kuna siku yeye na banana walikuwa wanahojiwa mkasi ndipo nilimwelewa alionekana kukerwa na scandal za binti yake ikiwemo kupata mimba nyumbani alikuwa anaongea hadi banana anamzuia.
Masikini banana itakuwa inamuuma kuona dadake anafanya mambo ya ajabu.
 
Baba yake na kaka yake walimchukua akiwa anaumwa sana na kifua kikuu wakamuonya tabia zake za kigeto geto. Nadhani atakuwa kazirudia tena. Waliongea sana!
 
Maunda njoo chukua dawa plz: i will gv u Bioclinic day/night, tonner ya tea tree na even out ikijirudia hiyo hali unagundu.
 
Mimi napenda macho yake tuuu... huwa na tathmin ukiwa unamvuna yanakuwaje....tamu balaa
 
Back
Top Bottom