Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kupiga picha huku unang'ata vidole ni fashion au???
wakubwa wanafaidi dah...!
hivi huyo manzi si anafamilia kabisa au !
baba yake anasuka na kuvaa eleni
Yani na vipesa wanavoshika kununua hata dawa ya chunusi hawawezi!
Chunusi zake haziishagi hata siku moja. Macho na umaarufu ndo vinamuweka hapa mjini.
Yani na vipesa wanavoshika kununua hata dawa ya chunusi hawawezi!
umaarufu ni shida......picha gani hizo.....