Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

Hakuna anayependa kuona binti yake akiharibika akiwa Nyumbani, mzee anajua heshima ya ndoa ambayo binti yake alitakiwa kuwa nayo.
 
Huyu dada kaimba wimbo mmoja na dully Skyes wa matusi matusi tu
 
Sio vipesa hao sasa ivi washakuwa matajiri .....TRH amenunu nyumba yao ya kurasini mil 750...so mgao aliopata ndio anasumbulia mjini

Nyumba hiyo ilikuwa ya baba yao au???

Najaribu kuangalia mgao kapata pata vipi
 
I dont wanna discredit her, but she looks like a TEJA to me...
 
Kazuri!she's naturally beauty,hizo make up na carolight mnazotaka awe mzuri wapendeni haohao kwangu ni mzuri.
 
Maunda njoo chukua dawa 😝: i will gv u Bioclinic day/night, tonner ya tea tree na even out ikijirudia hiyo hali unagundu.

Hahahaa,oriflame moja👍👍👍👍
 
Mtu una upaja kama beberu,lakini kutwa kushinda na vibukta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…