Picha mpya ya Lucy Komba

Ni muono wako tu
Picha inaonesha yupo nyumbani katoka ki afrika zaidi labda ulitaka aoneshe mapaja mpwa
 
Huyu ndy mwanamke mweny akili kuliko wew Unae jiona bora Unajua kw Nn? Ni wanawake wachache sana wanao kumbuka mara ya kwanza mwanaume alimpenda Nn na akiwa na mwonekano gan kw wakat huo na akaudumixha muonekano huo bila kujibadilisha
 
Uzuri sahivi tumejua jinsia yako
 
Waafrica twajua kufuatilia maisha ya watu balaa.
Kuna ka wimbo flani ka zamani huwa wanaimba, "wewe ukisema mke gani bwana wenzio wanamuona anapeendeza. Mzungu anapenda kitu natural hamuonagi huko kitaa. Wewe kazana na ma make up yako utishia kutupata mabaharia wa bongo hii hii
 
wabongo wengi wanaoishi Europe hawajui kuvaa,wapo wapo tu halafu sijui wanatumiaga simu gani
 
Mbona muonekano wake ni kama ananyonyesha
 
Tatizo liko wapi?kwani ulitaka afake maisha?ulitaka avae kiwest?yaani wabongo ni wanafiki kweli
 
Jinga kabisa eka picha yako tuone ulivyofanana na kima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…