Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani.Sura nzito kama uji wa Dona ahaa
Lini Lucy aliwahi kuwa mzuri?! Seuze hapo anang'aa!!!Mbona amekua mbaya?
ni mngoni ama?Mmh jaman huyu cheusi dawa jamani ndo kutuvalia nini hivi kama anaishi Tandale kwa tumbo wakati yupo Denmark , mxieew , Yan shoga angu mshamba huyu mpaka anaudhi Sijui lipoje mxieew, minguo gan hiyo kama unaenda kwenye msiba mxiee View attachment 1162860
Yes babake alikuwa ngoni mamake ni mjitani mngoni ama?
who is he?Mmh jaman huyu cheusi dawa jamani ndo kutuvalia nini hivi kama anaishi Tandale kwa tumbo wakati yupo Denmark , mxieew , Yan shoga angu mshamba huyu mpaka anaudhi Sijui lipoje mxieew, minguo gan hiyo kama unaenda kwenye msiba mxiee View attachment 1162860
Alikuwa mjamzito and now ananyonyshaMbona amekua mbaya?