Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

Yani hiki kigagula ndo Amekua ivo?
Hee[emoji36]amebadlika lini?
 
Kwahiyo unataka kuniambia Mkuu kuwa hata Mimi na hili lisura langu ligumu nikitambaa na hiyo beautification app yako nitakuwa pengine kama Willy Smith au Leonardo DiCaprio au Fally Ipupa kwa uhendisamu?
Utakuwa kama William levy
 
Kwahiyo unataka kuniambia Mkuu kuwa hata Mimi na hili lisura langu ligumu nikitambaa na hiyo beautification app yako nitakuwa pengine kama Willy Smith au Leonardo DiCaprio au Fally Ipupa kwa uhendisamu?
Hahahahh
 
Mkuu naona unachanganyikiwa na hizo Picha za insta , Anglia hii ya tecno werevaa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Huyu dada tokea nimuone akiwa chakari hajitambui,ndipo nilipoona kwamba MUNGU hakupi kila kitu.

Na uzuri wake wote,kumbe ni kichwa nazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…