cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Hii kweli wereva!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjukuu wa Sandra
Utakuwa kama William levyKwahiyo unataka kuniambia Mkuu kuwa hata Mimi na hili lisura langu ligumu nikitambaa na hiyo beautification app yako nitakuwa pengine kama Willy Smith au Leonardo DiCaprio au Fally Ipupa kwa uhendisamu?
HahahahhKwahiyo unataka kuniambia Mkuu kuwa hata Mimi na hili lisura langu ligumu nikitambaa na hiyo beautification app yako nitakuwa pengine kama Willy Smith au Leonardo DiCaprio au Fally Ipupa kwa uhendisamu?
Kweli kila mtu ni nzuri akipaka make up bomba,afu kumbe katumia mkorogo eeMkuu naona unachanganyikiwa na hizo Picha za insta , Anglia hii ya tecno werevaa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
Itakuwa kanywa maji ya betriiKweli kila mtu ni nzuri akipaka make up bomba,afu kumbe katumia mkorogo ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nitafute lile limtambo langu la ku zoom nione kama ana nywele za puani.
Akiwa nazo atakoma.
Kweli steveHili toto la kichaga zuri jamani
Zina nini mkuuNgoja nitafute lile limtambo langu la ku zoom nione kama ana nywele za puani.
Akiwa nazo atakoma.
We nyani vepeeeeNillan ndo nani? Mbongofleva...?
Usiniambie ndo umechekaMbwahaaa haaaaa haaaa uwiiiioiiee
Hahahaha.... Jamni...Mkuu naona unachanganyikiwa na hizo Picha za insta , Anglia hii ya tecno werevaa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
Akimaliza BAN atakujibuWarumi picha please