Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo kuungana na wenzao wapalestina kuomboleza madhila wanayopata kutoka kwa mayahudi.
Akimalizia misa yake hiyo padre Munther alisema anaamini ujumbe utakuwa umewafikia wakristo wote duniani na watu wote na mwisho akatoa taarifa rasmi kuwa hakutakuwa na maadhimisho ya krismasi mwaka huu kutokana na vita vya Israel na Hamas.
Baraza la mji wa Jerusalem nalo kwa upande wake limeshabomoa mapambo yote ya kuelezea furaha kwa ajili ya krismasi kutokana na uadui na majonzi yanayoletwa na mayahudi kwa waislamu na wakristo.
Kwa muda mrefu eneo alipozaliwa Yesu limekauka wakristo baada ya wengi kuhama kukimbia mateso ya askari wa Israel.Ukristo upande wa madhehebu ya kikatoliki kwa sasa makao yake makuu yako Vatican nchini Italia.
Wakristo walioko nje ya Jerusalem na Gaza kwa kiwango kikubwa na wao wamekuwa wakiogopa kuitembelea Jerusalem na hivyo kuyafanya makanisa yaliyo mjini humo kuwa kama magofu yenye kuhofisha kwa kukosekana watu ndani yake.