Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kweli?Dar- Rombo, jamhuri ya kidemokrasia ya Rombo.
Mmh behaviouristJana wakati natembea kwa miguu nimekutana na mwanamke anaendesha gari akanipisha mimi badala ya mimi kumpisha yeye.Alipaki gari pembeni ili nipite.
Kwenye eneo gani?Wanakuwa makini sana...
Kila kitu.Kwenye eneo gani?
🤣🤣🤣Jana wakati natembea kwa miguu nimekutana na mwanamke anaendesha gari akanipisha mimi badala ya mimi kumpisha yeye.Alipaki gari pembeni ili nipite.