Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Jana wakati natembea kwa miguu nimekutana na mwanamke anaendesha gari akanipisha mimi badala ya mimi kumpisha yeye.Alipaki gari pembeni ili nipite.
Lakini naamini halikuwa basi kama hilo la Tilisho...