Jana wakati natembea kwa miguu nimekutana na mwanamke anaendesha gari akanipisha mimi badala ya mimi kumpisha yeye.Alipaki gari pembeni ili nipite.
Kwa MpalangeHili basi linaenda route zipi
Kwenye eneo la daraja!Kwenye eneo gani?
Usinikumbushe machungu ya kumuazima wife gariWanawake wanakuaga makini sana barabarani kuzidi sisi wanaume.
Waswahili wanasema kwenye kila jamii lazima kuna chizi mmoja!Usinikumbushe machungu ya kumuazima wife gari
Mrembo huyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ETI MREMBO MKALI!!!!!
HAYA BWANA HONGERA ZAKE.
SaaanaSafi...na wanapendeza sana
Uzidi kutuombeaKuna akina dada/mama wanavuta zile oil tankers Dar to Rwanda nawaona hapa Rusumo wako makini sana wanavyozichomoa hizo scania, FAW, Volvo etc