PICHA: Mrembo Nicole Berry afikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za utapeli

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mrembo Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Joy Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka za tuhuma zinazomkabili.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne alithibitisha kumshikilia Nicole mnamo Machi 3, 2025 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo za kukusanya fedha kupitia WhatsApp bila kibali na kisha kuzima simu yake.

Kauli ya Jeshi la Polisi ilifuatiwa na malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali wakidai pia walicheza upatu kwa Nicole lakini hakuwapolea simu.

Pia, Soma
 
Siku chache tu keshapauka hivyo haloo jera sio pazuli
 
Ni msanii katia tasnia gani ? Au demu akishakuwa na makalio makubwa tayari automatic anakuwa msanii ?
Kumbe jibu unalo halafu unauliza tena? Infact ni kanuni nzuri sana umetufundisha. Bongo mwanamke akiwa na makalio makubwa tayari ni msanii. Na akishakuwa msanii, basi tayari ni celebrity. Na akishakidhi vigezo hivi basi ni chakula cha wenye fedha. (kumbuka siku hizi hawaitwi tena malaya)
 
Huyu ingekuwa enzi za nanilii, angewekewa nolle proseque, alafu anapelekwa China kwa mapumziko kwanza!
 
Huyo ndio mrembo? Au wenzangu mna macho tofauti?
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine
 
Serikali ya ccm ndio mjifunze kuacha kuwatumia wasanii,machawa na wengine ujificha ccm ili wapate kuaminiwa na wengi mpaka kwenu.Huyu alikusudia sababu ya hiyo tabia yenu ya kuwaendekeza wasanii kuwa karibu na nyie wakijua mtawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…