Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyu mbona sio yeye?Mrembo Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Joy Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka za tuhuma zinazomkabili.
View attachment 3265753
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne alithibitisha kumshikilia Nicole mnamo Machi 3, 2025 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo za kukusanya fedha kupitia WhatsApp bila kibali na kisha kuzima simu yake.
Kauli ya Jeshi la Polisi ilifuatiwa na malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali wakidai pia walicheza upatu kwa Nicole lakini hakuwapolea simu.
Pia, Soma
Mwenyewe alikuwa anang'aa sura kama mzungu. Vidole kama vimetoka mbinguni.
Hapa tumepigwa. Kisutu sio ya kuamini