PICHA: Mrembo Nicole Berry afikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za utapeli

Huyu mbona sio yeye?

Mwenyewe alikuwa anang'aa sura kama mzungu. Vidole kama vimetoka mbinguni.

Hapa tumepigwa. Kisutu sio ya kuamini
 
Yani anavyoleta mzahaa unaona kabisq ana uhakika Waliopo nyuma yake mahakama ni takataka tuu...! Kesi kama hizi haziwezi kuisha sababu kubwa ni hiii malaya anaijichekeshq mahakamani kama yupo guest kaona fimbo..shwain
Mkuu kafanyaje kwani? Hizi sio kesi za kuchukulia mzaha.

Ni kesi za kuzima M23 nchini Congo.
 
Amekaaa selo karibia siku 5 hakuna kuoga wala make up...joto ...hakuna hewa nzuri wala nn....sasa leo naamini ameenda keko au sega dance kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…