Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Kama unamjua bikira nikotayari kutoa mahari milioni10 mabilioni yahuyo jaama sina ila kibongo bongo hataikiongezeka kidogo sio mbaya
mimi hapa jamani woiii! uje unipe hyo mahari(naichukua mwenyewe)
 
tafsiri ya mshamba ni nini? mshamba lakini ana mawe
ukiwa mjanja hata bila mawe unakula vitoto vya ukweli kabisa,sasa ona ye kadata na bikra,katoa hela kibaao..wakati sisi huku kitaa bikra tunazitoa kila siku tena bure yaani,
mtu una mawe kibaao unawaacha watoto kama akina juliana kanyomodzi,watoto watamu balaa..
 
Kuoa kwa mahari kubwa ni biashara ya utumwa.

Au kununuliwa kama ng'ombe.
mbona waafrika tunafanya? kama ingekua ni utumwa nna uhakika hao wanaharakati wa haki za binadamu wangetupinga hadi tuache!

swali kama una mke, haukumtolea mahari?
 
Ahaaaa wewe zimia tu hakuna namna, weka video ya ul wimbo wa kuzimia

Huyo mwanaume tz hakuna
 
mbona waafrika tunafanya? kama ingekua ni utumwa nna uhakika hao wanaharakati wa haki za binadamu wangetupinga hadi tuache!

swali kama una mke, haukumtolea mahari?
Mnaruhusiwa kufanya mnavyotaka na hakuna wa kuwakataza.

Lakini hii ni moja ya sababu wanawake wa Kiafrika wanachukuliwa kama ng'ombe.

Wanapigwapigwa. Wanaonewaonewa.

Mimi sijatoa mahari, sijachangisha mchango wa harusi mtu hata mmoja, sijafanya ujinga ujinga, na maisha yangu ni tofauti sana kulinganisha na habari za maisha ya Mtanzania wa kawaida.

Kiranga is a singularity.

Hiyo hela ya mahari natoa sadaka.

Na mke niliyemuoa shopping yake ya weekend moja nikimfanyia ni mahari ya wake wawili Tanzania.

Sina haja ya kumbadilisha mtu.

Ila ukweli ninkwamba kuoa kwa mahari kubwa ni kumfanya mwanamke awe bidhaa ya kununuliwa.

Ndiyo maana wengine wakikisana na mke wakaachana, wanaenda kudai sehemu ya mahari yao.

Wanaona wamenunua bidhaa ambayo hawajaitumia.
 
Mnaruhusiwa kufanya mnavyotaka na hakuna wa kuwakataza.

Lakini hii ni moja ya sababu wanawake wa Kiafrika wanachukuliwa kama ng'ombe.

Wanapigwapigwa. Wanaonewaonewa.

Mimi sijatoa mahari, sijachangusha mchango wa harusi mtu hata mmoja, sijafanya ujinga ujinga, na maisha yangu ni tofauti sana kulinganisha na habari za maisha ya Mtanzania wa kawaida.

Hiyo hela ya mahari natoa sadaka.

Na mke niliyemuoa shopping yake ya weekend moja nikimfanyia ni mahari ya wake wawili Tanzania.

Sina haja ya kumbadilisha mtu.

Ila ukweli ninkwamba kuoa kwa mahari kubwa ni kumfanya mwanamke awe bidhaa ya kununuliwa.

Ndiyo maana wengine wakikisana na mke wakaachana, wanaenda kudai sehemu ya mahari yao.

Wanaona wamenunua bidhaa ambayo hawajaitumia.
nimekuelewa vizuri sana mkuu. swali lingine familia ya mke wako walichukuliaje swala la wewe kutolipa mahari?
 
Bahati ya mwenzio;......
Usihofu hata usipotolewa mahali lakini ukaishi maisha mazuri ni poa tu!
 
mang'ombe 520 sijui, magari v8 siju ngapi na milion ishirini juuu

ongezea kuolewa kwa mahari kubwa ni bahati ya mtu
Duu katoa mahari kubwa kasababu anazo, hongera kwa wazazi wake
 
sijui wanakwamia wapi[emoji23][emoji23]kweli usililie uzuri lilia bahati
Kweli lilia bahati tu utasifiwa saana na uzuri lakini unasugua gaga wapi, lakini wenye sura za tafadhali nipigie hao wanapata ndoa mapema kabisa
 
Back
Top Bottom