Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yupo huko dar anaitwa konki master oil chafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yupo huko dar anaitwa konki master oil chafu.
Asubuhi yako badomhhh nyota njema huonekana asubuhi.
source ya income yao ni nini ad wanakua na mawe hivyo?Nimewahi kuishi na kufanya kazi na watu wa South Sudan,kwa kifupi hawa watu hawanaga uchoyo japokuwa wengi ni raia wa nje lakini asili yao huwa hawaisahau,afu ukisikia Mjuba ana pesa jua ana pesa kweli hiyo mahali ni chenji tu,Ukitaka kuwajua vizuri jichanganye kwenye viwanja vya Nairobi uone wanavyoball,nawashauri wadada wakibongo watafute danga la kijuba litakutoa mapene yote unayotaka,lakini kuoa lazima lioe kwao.
I mean SPLA na SPLA-OPPOSITION.Wengi wanaconection na viongozi wa SLP na Waasi,in short money laundering kupitia kampuni za mafuta,madini,na 10% ya manunuzi ya silaha,afu viongozi wa waasi wengi ni maadvisers kwenye masuala ya ulinzi kwenye makampuni ya uchimbaji mafuta, na madini,pesa za madili mengi ya Southsudan mzunguko wake upo kenya na Uganda,imagine mtoto wa Salva Kiir mwenye umri chini ya miaka 20 ameinvest dola zaidi ya milioni tano kwenye kampuni moja huku kenya,hiyo pesa kaitoa wapi?
Siyo rahisi kuipata!!! hadi uipate utatafuta sana mkuu!!mimi ni tajiri mkubwa tu niko tayari kutoa zaidi ya kok.
je unayo Bikra?
aaahh mkuu mi naoa...tena nachagua ...ila si unajua unatakiwa uchukue kitu nyonga....mi SIWEZ OLEWA MI NAOA MKUU...tena naoa anayejua kukata mauno ..japo na wa pembeni ntawasaka tu wenye ujuzi wa aina mbalimbaliNenda ukaolewa wewe unayejua kukatika badala yake
hahahahahaaaSiyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
aipate mara ngapi? kashaipata kwanguSiyo rahisi kuipata!!! hadi uipate utatafuta sana mkuu!!
Iaaahh mkuu mi naoa...tena nachagua ...ila si unajua unatakiwa uchukue kitu nyonga....mi SIWEZ OLEWA MI NAOA MKUU...tena naoa anayejua kukata mauno ..japo na wa pembeni ntawasaka tu wenye ujuzi wa aina mbalimbali
Jisus Christ [emoji16][emoji16]Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
hakuna wivu hapo acha kuwaka...tulia tu tuteremshe comments.....kwani kun aasiye na chaguo...wacha achague lake ila ilimradi ipo jukwaani hapa tutaremsha tu comments iwe serious au crazy. SO TULIA TULIIIPunguza wivu kila mtu ana chaguo lake
I
kutokua na akili ndo majaliwa yangu mkuu! bila mimi kutokua na akili ungejuaje kma wewe unazo?? kazi za Mungu zipo mbili mbili.Wewe nawe akili huna! Unakuwa inspired na upupu!!
😂😂😂😂😂hakuna wivu hapo acha kuwaka...tulia tu tuteremshe comments.....kwani kun aasiye na chaguo...wacha achague lake ila ilimradi ipo jukwaani hapa tutaremsha tu comments iwe serious au crazy. SO TULIA TULIII
Hao kina Wolper, Wema,Vera unaowaona wazuri analala nao kila akitaka kwa malipo, anawachukulia kama Sex tools.Hahaa kok alat ni tajiri mshamba kweli, na pesa zote zile alizo nazo ameenda kuoa demu mbaya..wanaume tukipata pesa tunakimbilia mademu wazuri wakati kok alat anakimbilia mademu wabaya de locci