Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Nimeishi Juba miaka flani iliyopita, sifa ya kwanza kwa wale jamaa huwa ni urefu. Yaani uwe mrefu na usiwe na minyama uzembe, weusi pia ni kipimo cha uzuri. Sasa wewe nenda na ufupi wako na rangi yako ya maji ya kunde halafu wakuhisi unataka kuchafua mbegu yao uone yatakayokukuta.
 
Dunia inamambo walisema watu pori... Tukisema uchawi upo duniani ndio hivi sasa...
 
😂😂😂😅😅😅😅nmecheka sana ayseee
 
Sema ni mrembo mno na pia yupo natural me ntatoa ngombe 900
 
Bidhaa ipo sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…