farufausta
Senior Member
- Oct 4, 2017
- 115
- 109
Kuna kitu hakipo sawa, hapo walimaanisha mrefu sio mrembo kama mlivyonukuu [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa nn mkuu? Mbona yuko sahihiEti mahari nini?????? Mniache nisije nikacheka nikapaliwa nikazimia nikafa!
😂😂😂😂Hawajui kua wew ni mrembo. Mtoto rangi imekubali mweusi tititiiii na mahari yako hta namba zake hazihesabiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jipange basi kwanza na ng'ombe 520Basi ndo safi kwangu. Twende PM tuyajenge basi, ila sina ng'ombe wala mbuzi mimi.
Rangi nyeupe kumbe dili siku hizi?Alafu wanaume humu mtasema huyo dada mbaya wakt natural..alafu wavaa mawigi na rangi nyeupe mnawasema kumbe mnawakubal kimoyomoyo
Bhebhe e ng`ombe otenajo mbona ng'ombe magana abili nghehu sana.Ingekuwa zamani tungeweza kupambana.
Nunene nalemaga gete namhala. Ng'ombe magana abili? Biya gete nulu abize alinamadako matale gudimadandali [emoji16][emoji16][emoji16]
Mh! Hebu toa evidence!Son of Gamba unajuaje hajaguswa?mimi nakuambia ameshapanua kwa kumuangalia tu
Sanchoka unampakia mgando tuHata havutii,kuliko kutoa huo upuuzi bora kutoa milioni 10 kwa Sanchoka ufaidi.
Nikitoa ng'ombe zote hizo nitakuwa nakununua. Mi najua thamani ya mapenzi yangu kwako inatosha kabisa. Usinikimbize kwa sababu ya umasikini wangu wewe mrembo. Njoo kwangu, hao ng'ombe na zaidi tutatafuta pamoja.Jipange basi kwanza na ng'ombe 520
😂😂😂Nikitoa ng'ombe zote hizo nitakuwa nakununua. Mi najua thamani ya mapenzi yangu kwako inatosha kabisa. Usinikimbize kwa sababu ya umasikini wangu wewe mrembo. Njoo kwangu, hao ng'ombe na zaidi tutatafuta pamoja.
By Guillaume Oyono MbiaThree suitors One husband
Kitabu pendwa enzi zanguBy Guillaume Oyono Mbia
Sanaaa wakina julliet,mbia(alivyoenda kwa wazazi wa juliet jamaa akajifanya eti n "proffesor wa mathematics".Kitabu pendwa enzi zangu
Am sure unanijua vzr mpaka umejua nafanya hayo yote? SMHTutakuzika ....endeleeni kuvaa kope bandia...macho bandia ...papuchi wekeni ndimu na vitunguu swaumu....mawigi...kaloraiti sana ...mahari zenu hazitozidi laki mbili na kuku wawili
Nimetoa mfano tu usijalAm sure unanijua vzr mpaka umejua nafanya hayo yote? SMH
Unaona sasa, haya ndo mambo. Sasa ondoa lock huko PM basi maana yajayo yanafurahisha.